Acts 1:6-7

Yesu Apaa Mbinguni

(Marko 16:19-20; Luka 24:50-53)

6 aMitume walipokuwa wamekusanyika pamoja, wakamuuliza Yesu, “Bwana, je, huu ndio wakati wa kuwarudishia Israeli ufalme?”

7 bYesu akawaambia, “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.
Copyright information for SwhNEN